30,725 views
537 likes
Kwenye episode hii mpya ya Hamasika Podcast, tumezungumza na Mwalimu Cosmass Madulu kwa mazungumzo ya kina kuhusu mambo mbalimbali yanayowahusu vijana katika maisha ya kila siku.
Tumezungumza kuhusu maisha, changamoto, mafanikio, mahusiano, maamuzi na namna ya kupiga hatua kuelekea maisha bora.
🔥 Kuna mambo ambayo vijana wengi wanapitia, lakini si rahisi kuyazungumza waziwazi.
▶️ Tazama episode hii hadi mwisho, acha maoni yako na usisahau ku-SUBSCRIBE Hamasika Tv.
#HamasikaPodcast #HamasikaTv #CosmassMadulu #Vijana #Mafanikio #Mahusiano #Maisha